Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
mkuu unatumia option gani kuurudisha upya uzi wako samahani lakini kama nitakuuzi maana nimejaribu sana napata shida
Bila samahani mkuu, hakuna option yoyote ninayotumia zaidi ya kujitahidi kupost tu.
Ninachoamini members ndio wanaofanya huu uzi uendelee kua mpya
Ushauri, jitahidi kupost vitu vinavyopendwa na uzi wako utakua mpya kila siku.
Karibu sana mkuu ujichagulie gari
 
Ahsante sana mkuu nimeona kazi yako ni nzuri sana napambana nijikusanye nami nipate huo usafiri
 
Toyota Fortuner
Mwaka 2013
Bei :65M
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180121-WA0248.jpg
IMG-20180121-WA0246.jpg
IMG-20180121-WA0245.jpg
IMG-20180121-WA0244.jpg
 
Toyota Rav4
Mwaka :1998
Bei :8M au mfanye exchange na Toyota Ist namba D, atakuongeza pesa kidogo
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180122-WA0023.jpg
IMG-20180122-WA0024.jpg
IMG-20180122-WA0025.jpg
IMG-20180122-WA0029.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom