Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Bila samahani mkuu, hakuna option yoyote ninayotumia zaidi ya kujitahidi kupost tu.mkuu unatumia option gani kuurudisha upya uzi wako samahani lakini kama nitakuuzi maana nimejaribu sana napata shida
Ninachoamini members ndio wanaofanya huu uzi uendelee kua mpya
Ushauri, jitahidi kupost vitu vinavyopendwa na uzi wako utakua mpya kila siku.
Karibu sana mkuu ujichagulie gari