Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Vipi hii itakufaa, ina km 150000 inataka milioni 9Mkuu nichekishie subalu new model. Ikiwa C sio mbaya.
Mtumie ile vanguard nyeusi hyo mdau itamfaa sanaZipo mkuu wacha kesho nikutumie picha na details, ikiwezekana nipatie namba yako pm ili zikufikie kwa wakati au nicheki Whatsapp moja kwa moja kupitia 0689699704.Karibu sana mkuu
Mdau anataka ambayo haijatumika bongo, zipo nampa leoMtumie ile vanguard nyeusi hyo mdau itamfaa sana
Ova
Anataka ya yard SyoMdau anataka ambayo haijatumika bongo, zipo nampa leo
Inashida gan mkuuNissan Note
Mwaka:2005
1490CC
Automatic
Bei:3.7M
Mawasiliano :0689699704View attachment 690157View attachment 690158View attachment 690159View attachment 690160View attachment 690161
Ndio mkuuAnataka ya yard Syo
Ova
Haina shida mkuu, unawasha na kuondoka zako baada ya kulipia lakini hahaha! karibuInashida gan mkuu
Ngoja nifanye mchakato nikupm boss!Haina shida mkuu, unawasha na kuondoka zako baada ya kulipia lakini hahaha! karibu
Inashida gani iyo bugatiiiiii,,,, unaweza ukapiga picha kwenye engine!!?Nissan Note
Mwaka:2005
1490CC
Automatic
Bei:3.7M
Mawasiliano :0689699704View attachment 690157View attachment 690158View attachment 690159View attachment 690160View attachment 690161
Nijuze kuhusu fuel consumption hii surf!Toyota Hilux surf
2Lt engine
Milango 3
Manual
4wd
Bei:5.5M
Haijagongwa na ilikua haitumika mara kwa mara kwahiyo ipo kwenye hali nzuri .
Mawasiliano :0689699704View attachment 689603View attachment 689604View attachment 689605View attachment 689606