Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Sawa mkuuNgoja nifanye mchakato nikupm boss!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuNgoja nifanye mchakato nikupm boss!
Karibu sana mkuuNilitaka kuagiza be forward au SBS nimeghairi boss! Huu Uzi utanipatia usafiri Wangu roho inapenda
Picha za engine sina hapa mkuu, kwanini usifanye mchakato uikague kabisa mkuuInashida gani iyo bugatiiiiii,,,, unaweza ukapiga picha kwenye engine!!?
Ni km 9 kwa lita mojaNijuze kuhusu fuel consumption hii surf!
Kwa wanaohitaji magari mapya na used kutoka Zanzibar tukutane hapaHivi huu uzi na yule anayeuza kutoka znz ni mmoja au ni watu tofauti
Ni watu tofauti dada,angalia huyu anaweka details fullHivi huu uzi na yule anayeuza kutoka znz ni mmoja au ni watu tofauti
Sawa kaka nilijua ni mmojaNi watu tofauti dada,angalia huyu anaweka details full
Hii hapa vits Rs, mwaka 2001,1490CC,VVti engine bei ni milioni 6.3Master of the game ukipata vits RS namba C au B uweke bei
Hii hapa engine ndogo, 1490CC bei yake ni milioni 5.5MMkuu weka na suzuki escudo zile za zamani. Namba B au C
Bado ipo mkuuIle range sport imeshapata mteja
Kweli kabisa mkuu, hakuna haja ya kwenda kuminyana kwenye daladalaYaan Mwaka hii nisiponunua gar, Bas sina bahati! Magari mazuuuri bei ya kutupwa
Namba yako ninayo bosi, nikiwa tyr nakutafuta broooKweli kabisa mkuu, hakuna haja ya kwenda kuminyana kwenye daladala
Sawa mkuu, karibu sanaNamba yako ninayo bosi, nikiwa tyr nakutafuta brooo