Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Prado machozi
Mwaka:2011
2tr engine
Bei:85M
Mawasiliano :0689699704
Mwaka:2011
2tr engine
Bei:85M
Mawasiliano :0689699704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aseee ngoja tujikwamue...😵😵😵😵😵Prado machozi
Mwaka:2011
2tr engine
Bei:85M
Mawasiliano :0689699704View attachment 691007View attachment 691008View attachment 691009View attachment 691010View attachment 691011View attachment 691012View attachment 691014View attachment 691015
Ipi mkuu naomba uziquote zote mbili mkuu, samahani kwa usumbufuMkuu kuna brevis mbili ulipost, nimekuuliza kama mojawapo bado ipo hujanijibu
Wacha tutafutewakuu nawezapata isuzu journey?
poa naisubiri!Wacha tutafute
Hii hapa mkuuToyota Brevis
Bei :8.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 684322View attachment 684325View attachment 684326
Nyingine hii hapa mkuuToyota Brevis mwaka 2001
Bei:8.7M
Mawasiliano :0689699704View attachment 684283View attachment 684284View attachment 684285View attachment 684287View attachment 684288View attachment 684289View attachment 684291View attachment 684292
Ipo mkuu, karibuHii hapa mkuu
Hata hii pia ipo, chaguo ni lako mkuuNyingine hii hapa mkuu
Mkuu chukua 8 tufanye biasharaHata hii pia ipo, chaguo ni lako mkuu
Chukua 8 mkuu, nipe utaratibu wa kuja kuikaguaIpo mkuu, karibu
Pole mdau kwangu Rv4 ni gari moja imara sana ninayo huu mwaka wa 5 haijawai nisumbua na napiga nayo masafa ya mbali ikiwa nipamoja na kuipeleka shamba binafsi huwa nasema Rv4 nigar ya mkulima hasa ukipata Rv4 J Old model cha msingi sana ni kuzingatia service kila baada ya km 3000 piga service napendelea kutumia Oil ya BP ukifanya service 3 au nne namaanisha kila baada ya km 9000 au 12000 mwaga oil ya giarbox na hakikisha unatumia T4 ya mjapani ambayo uwa kwenye gallon ukienda shell au maduka ya lejaleja wengi huiuza 180000 mpaka 200000,pia hakikisha unatumia Coolant badala ya maji ya kawaida ukizingatia aya machache utokaa uichukie Rv4 wala utoona gearbox inasumbua ,kingine epuka kuazima gari lako mala kwa mala.Hapo najua Rav4 gearbox inadunda sauti wakati wa kubadili gear , gari za kipuuzi mno ya kwangu nimeitupa uani.
Huyu wa silver kachelewa kunitaarifu aliitoa jana usiku, chukua maroon kwa 8.3M mkuu.Chukua 8 mkuu, nipe utaratibu wa kuja kuikagua
View attachment 673386View attachment 673389 Land Rover Discover 4
Asante sana mkuu hili somo litawafaa wengi humuPole mdau kwangu Rv4 ni gari moja imara sana ninayo huu mwaka wa 5 haijawai nisumbua na napiga nayo masafa ya mbali ikiwa nipamoja na kuipeleka shamba binafsi huwa nasema Rv4 nigar ya mkulima hasa ukipata Rv4 J Old model cha msingi sana ni kuzingatia service kila baada ya km 3000 piga service napendelea kutumia Oil ya BP ukifanya service 3 au nne namaanisha kila baada ya km 9000 au 12000 mwaga oil ya giarbox na hakikisha unatumia T4 ya mjapani ambayo uwa kwenye gallon ukienda shell au maduka ya lejaleja wengi huiuza 180000 mpaka 200000,pia hakikisha unatumia Coolant badala ya maji ya kawaida ukizingatia aya machache utokaa uichukie Rv4 wala utoona gearbox inasumbua ,kingine epuka kuazima gari lako mala kwa mala.
Unitag hata PM akikujibu pls.Vanguard ambayo haijatumika bongo. Unayo?? Tsh ngapi. At least ya mwaka 2008 mpaka 2010
Yenye sit 7 ambayo haina four wheel drive. Yaan two front wheel driver.