Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Prado machozi
Mwaka:2011
2tr engine
Bei:85M
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180205-WA0061.jpg
IMG-20180205-WA0062.jpg
IMG-20180205-WA0066.jpg
IMG-20180205-WA0065.jpg
IMG-20180205-WA0064.jpg
IMG-20180205-WA0063.jpg
IMG-20180205-WA0069.jpg
IMG-20180205-WA0068.jpg
 
Mkuu kuna brevis mbili ulipost, nimekuuliza kama mojawapo bado ipo hujanijibu
 
Hapo najua Rav4 gearbox inadunda sauti wakati wa kubadili gear , gari za kipuuzi mno ya kwangu nimeitupa uani.
Pole mdau kwangu Rv4 ni gari moja imara sana ninayo huu mwaka wa 5 haijawai nisumbua na napiga nayo masafa ya mbali ikiwa nipamoja na kuipeleka shamba binafsi huwa nasema Rv4 nigar ya mkulima hasa ukipata Rv4 J Old model cha msingi sana ni kuzingatia service kila baada ya km 3000 piga service napendelea kutumia Oil ya BP ukifanya service 3 au nne namaanisha kila baada ya km 9000 au 12000 mwaga oil ya giarbox na hakikisha unatumia T4 ya mjapani ambayo uwa kwenye gallon ukienda shell au maduka ya lejaleja wengi huiuza 180000 mpaka 200000,pia hakikisha unatumia Coolant badala ya maji ya kawaida ukizingatia aya machache utokaa uichukie Rv4 wala utoona gearbox inasumbua ,kingine epuka kuazima gari lako mala kwa mala.
 
Asante sana mkuu hili somo litawafaa wengi humu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom