Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mkuu kabisa au basi fanya mbili unusu mimi ntakutoa chonga na owner
Hapana mkuu haitafaa, hata hivyo nilitaka nikufahamishe kua natambua mchango wako mkubwa kwenye huu uzi wetu. Umekua nasi tangia uzi ni mchanga mpaka sasa umekua, nimekua nikiona likes zako mara kwa mara. Asante sana kwa sapoti yako, tafadhali endelea kua nasi
 
RAV 4 no.D-three doors (old model) Master of the game
Hii hapa mkuu.
Rav4 old model
Mwaka:1999
1990CC
3s engine
Open sunroof
Good condition
Price :9.8M
FB_IMG_1518014526263.jpg
FB_IMG_1518014528413.jpg
FB_IMG_1518014530746.jpg
FB_IMG_1518014532903.jpg
FB_IMG_1518014535185.jpg
FB_IMG_1518014537592.jpg
FB_IMG_1518014540225.jpg
 
Hapana mkuu haitafaa, hata hivyo nilitaka nikufahamishe kua natambua mchango wako mkubwa kwenye huu uzi wetu. Umekua nasi tangia uzi ni mchanga mpaka sasa umekua, nimekua nikiona likes zako mara kwa mara. Asante sana kwa sapoti yako, tafadhali endelea kua nasi
Nashkuru sana mkuu najua ipo siku ntakuunga mkono kwa kununua ndinga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom