Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Nissan bluebird sylphy
Mwaka:2006
1990CC
105000km
Bei:12M
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180208-WA0001.jpg
IMG-20180208-WA0002.jpg
IMG-20180208-WA0004.jpg
IMG-20180208-WA0005.jpg
 
Mkuu kuna mda uzi unapotea ongea na wahuska huu uzi ukae hewan mda wote .Vipi ntaweza kupata harrier black yenye engine 5 s old model?
 
Mkuu kuna mda uzi unapotea ongea na wahuska huu uzi ukae hewan mda wote .Vipi ntaweza kupata harrier black yenye engine 5 s old model?
Kweli mkuu naona saa nyengine yanapita masaa mengi bila kupost kitu labda ndio sababu.
Harrier hii hapa ya mwaka 1999
5s engine
4cylinder
Bei :9.5M
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180209-WA0044.jpg
IMG-20180209-WA0043.jpg
IMG-20180209-WA0041.jpg
IMG-20180209-WA0039.jpg
IMG-20180209-WA0040.jpg
IMG-20180209-WA0042.jpg
 
Dah master kwel wewe ni master wa huu mchezo hebu Mungu akupe time zaidi ya kuwa humu ili nikipata kijisenti unipe kagari humu nyeee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom