Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapatikana hiyo kwa 14.5M,sina picha kwa sasa lakini namba yangu ndio hii 0689699704,tukiwasiliana kesho itapendezaNoah super Extra limo toleo la mwaka 1998 bei gani kwasasa nataka ambayo haija tembelewa bongo
Asante mkuu kwa mchango wako, nitazingatia hayo uliyopendekeza.Mkuu hapa hapa kunatosha usiunde GRP kwanza Whtsap kuna mambo ya kitoto wataanza kuleta Jokes kwenye biashara hapa ndo mahala mubashara kwanza Jf inawatumiaji wengi more than 3,000 ambao wapo active kila siku group la whtsap members 250 to GRP lipo full alf Jf utapa advantage yakupata wateja hapa wa nnje ya nchi wa Kenya wapo humu watu wa Uganda Jf sote connects us pamoja It's better to stay here.
Sawa mkuu nitakupa 14 itapendezaInapatikana hiyo kwa 14.5M,sina picha kwa sasa lakini namba yangu ndio hii 0689699704,tukiwasiliana kesho itapendeza
Ukikagua gari mkuu ndio utaamua unipe ngapi, pengine utapenda kuongeza zaidi mpaka 15,,hahaha!!Sawa mkuu nitakupa 14 itapendeza
Unaonaje nikikupatia ambayo haijatumika bongo upate usajili mpya kabisaKiongozi unaweza niangalizia x trail ya kuanzia 2005 na namba D
Mkuu nakuangalizia nitakupatia jibuMkuu nitafutie mark II grande gx110 yenye full body kit reg no iwe kuanzia B au C budget yangu ni 6mil
Ahahaa ok nitakuchek mkuu keshoUkikagua gari mkuu ndio utaamua unipe ngapi, pengine utapenda kuongeza zaidi mpaka 15,,hahaha!!
Ndio itakuwa shilingi ngapi kiongozi?Unaonaje nikikupatia ambayo haijatumika bongo upate usajili mpya kabisa
Ahsante mkuu.Karibu sana mkuu
15.5M kiongozi wanguNdio itakuwa shilingi ngapi kiongozi?
Ok mkuuMkuu nakuangalizia nitakupatia jibu
Ok nitasubiria simu yako kwa hamu na shauku kubwa, karibu sana.Ahahaa ok nitakuchek mkuu kesho
Mkuu hiyo Avensis piga picha za ndani na ubavuni kuna mtu anaitakaNatumai nimepewa info sahihi, ila mkuu 3.5 haijakaa vizuri, 4.5 itapendeza
Nimeziomba tayari, nikizipata naziweka hapaMkuu hiyo Avensis piga picha za ndani na ubavuni kuna mtu anaitaka