Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Crown Royal Saloon ya mwaka 2005,2.5CC
Bei :13.5M
Contact :0689699704
Bei :13.5M
Contact :0689699704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimwi la kula mafuta hiliToyota Harrier ya mwaka 2006
Injini :2390CC vvti
Imetembea km 67000
Milioni 25.5View attachment 641764View attachment 641765View attachment 641766
Mkuu nitafutie Toyota Cami namba D. Ambayo bado ni nzuri. Kms pia iwe chini. Iwe ni rangi nyeusi. Asante.Grand mark II, engine vvti, bei 8.2M,mawasiliano 0689699704View attachment 641861View attachment 641862View attachment 641863
Mkuu itapatikana ya kutoka Japan moja kwa moja bei yake ni 12.5M.Mkuu nitafutie Toyota Cami namba D. Ambayo bado ni nzuri. Kms pia iwe chini. Iwe ni rangi nyeusi. Asante.
KaribuUzi nimeupenda
Mkuu samahani kwa kuchelewa lakini naomba unisaidie hili, unataka model ya mwaka gani na upande wa budget umejipangaje? nauliza hivyo sababu nimearifiwa hata kwenye stock yetu ya Japan hamna kwahyo inabidi ifanyike kazi ya ziada kuhakikisha inapatikana
Noted mkuuMkuu mie nataka Crown athlete ya 2005 used japan. Max naweza jivuta hadi 15
kwa 7m haipatikani mkuuX trail namba D kwa 7m inapatikana
AmiinMy dream car.... may Allah grant me... [HASHTAG]#amina[/HASHTAG]