Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Nissan Patrol
Bei :12.5M
mawasiliano :0689699704
Bei :12.5M
mawasiliano :0689699704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula 7 mkuuToyota Brevis ya mwaka 2003,2.5CC bei 9M
Mawasiliano :0689699704View attachment 650685View attachment 650687View attachment 650688
Hailipi mkuuKula 7 mkuu
NimekusomaUna noah oldmodel ya 7mln mkuu
Iwe hata namba B kuna wateja nataka Kuku link nao,gari iwe haijawahi pigwa rangi wala kugongwa,engen iwe Nzima
Ova
2200CC mkuu ipoMkuu unaweza kuwa na harrier old model 2100 CC ya body kit?
2200CC mkuu ipo
Nikupe tisaToyota Ist ya mwaka 2002
Imetembea km 55000
1290CC
Bei :10M
Mawasiliano :0689699704View attachment 651183View attachment 651184View attachment 651186View attachment 651187
Mkuu picha zinaniwia ngumu kidogo kuzipataNaomba uweke hapa picha na details pls
10M ni top mkuu haipunguiNikupe tisa
Mkuu picha zinaniwia ngumu kidogo kuzipata
Kwani upo wapi mkuu?
Kwanini usije tu kuiona?
Mkuu hongera kwa huu uzi. Nataka kumchukulia baba mzazi gari cheap lkn nimetokea kupenda gari aina ya Toyota WiLL nyeusi vipi taipata kwa shilingi ngapi nikuunganishe?10M ni top mkuu haipungui