Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Canter namba C
Bei :22M
Mawasiliano :0689699704
FB_IMG_1514199923124.jpg
FB_IMG_1514199926151.jpg
FB_IMG_1514199936110.jpg
FB_IMG_1514199938278.jpg
 
Udalali mwingine wa kujipachika unampigis simu noah DGH anasema sikukabidhiwa mimi nikupe no maana nini Administrator huu ni utapeli au ukanjanja unaharibu JF
 
Udalali mwingine wa kujipachika unampigis simu noah DGH anasema sikukabidhiwa mimi nikupe no maana nini Administrator huu ni utapeli au ukanjanja unaharibu JF
Duh! tuhuma nzito hii mkuu bila shaka hatukuelewana vizuri.
Namba yako ninayo siku nyingi maana sio mara kwanza kunipigia tukaongea kuhusu Noah, unakumbuka ile ya Chamanzi nikakupa namba ya mmiliki au ile ya Magomeni nyeusi nikakupa namba ya dalali? zote hujazifanyia kazi mkuu pengine hukua na imani na mimi .
Niliwahi kufafanua humu namna ninavyofanya kazi kwamba gari hua nakabidhiwa na mmiliki au dalali au hata nyengine zinakuaga Showroom.

Utaratibu wangu ni kwamba nakuambia gari lipo maeneo fulani na nakupatia namba ya mhusika.

Mkuu mimi sio tapeli na wala sifanyi kazi na matapeli wanaonifahamu gumu na ambao nishawahi kufanya kazi nao kama wataona hii wanaweza kunisaidia kukufahamisha .

Narudia tena inawezekana tulipishana lugha lakini mkuu kwa jinsi tulivyowasiliana tangia mara ya kwanza unaonekana sio mstaarabu au sio muelewa, nisamehe sana mkuu kama nitakukwaza lakini hakuna ulazima wa kufanya biashara na mtu ambae huna imani nae.
 
Uzi mtamu saana huu.. Lakini nitoe angalizo.. Unaponunua gari yoyote mkononi kwa mtu basi usiridhike na documents tu ambazo zinamatch na gari. Tafuta mtaalamu wa kukagua magari aikague km km gari ni halali au lah?? Kuna michezo mingi sana inachezwa. Gari inaweza kuwa ni ya wizi ikabadilishwa rangi tu, then docs zikatengenezwa vzr kbs za kufoji foji na mnunuzi hautojua kbs mpaka siku polisi watapokua ktk kazi zao za ukaguzi wakaliotea kulikagua chasis number . Engine number etc

Hapo ndipo utapojikuta mikononi mwa mikono ya dola km mwizi wa magari while kiukweli hukuiba bali uliuziwa
 
Angalizo zuri mkuu ni vyema lifanyiwe kazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom