Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Canter namba C
Bei :22M
Mawasiliano :0689699704
Bei :22M
Mawasiliano :0689699704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali mkuu asante kwa ukumbusho nitajitahidiMkuu siku hiz magar yako mengi huweki picha za ndani
Duh! tuhuma nzito hii mkuu bila shaka hatukuelewana vizuri.Udalali mwingine wa kujipachika unampigis simu noah DGH anasema sikukabidhiwa mimi nikupe no maana nini Administrator huu ni utapeli au ukanjanja unaharibu JF
...haha, haka nakajua kalikuwa ka boss wangu wa kurasini, bado kazuriToyota Ist bei 8.4M
Contact :0689699704View attachment 639939View attachment 639940View attachment 639941View attachment 639943
Haha mkuu ukanunue kabakie kwenu...haha, haka nakajua kalikuwa ka boss wangu wa kurasini, bado kazuri
Zipo mkuu unataka ambayo imesajiliwa au used in Tz? au nikurahisishie kwa kunifahamisha budget yako ni kiasi gani?Kuna toyota probox mkuu?
Nahitaji used in Tz, bajeti isizidi M6Zipo mkuu unataka ambayo imesajiliwa au used in Tz? au nikurahisishie kwa kunifahamisha budget yako ni kiasi gani?
Dah mkuu bahati mbaya ninayo yenye usajili mpya na bei yake ni 9.5MNahitaji used in Tz, bajeti isizidi M6
Angalizo zuri mkuu ni vyema lifanyiwe kaziUzi mtamu saana huu.. Lakini nitoe angalizo.. Unaponunua gari yoyote mkononi kwa mtu basi usiridhike na documents tu ambazo zinamatch na gari. Tafuta mtaalamu wa kukagua magari aikague km km gari ni halali au lah?? Kuna michezo mingi sana inachezwa. Gari inaweza kuwa ni ya wizi ikabadilishwa rangi tu, then docs zikatengenezwa vzr kbs za kufoji foji na mnunuzi hautojua kbs mpaka siku polisi watapokua ktk kazi zao za ukaguzi wakaliotea kulikagua chasis number . Engine number etc
Hapo ndipo utapojikuta mikononi mwa mikono ya dola km mwizi wa magari while kiukweli hukuiba bali uliuziwa