njalambaya
Member
- Mar 27, 2017
- 14
- 2
Vipi kuhusu fuel consumption ya hii?Toyota Brevis ya mwaka 2003,2.5CC bei 9M
Mawasiliano :0689699704View attachment 650685View attachment 650687View attachment 650688
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu fuel consumption ya hii?Toyota Brevis ya mwaka 2003,2.5CC bei 9M
Mawasiliano :0689699704View attachment 650685View attachment 650687View attachment 650688
Nitakutumia mkuu bado sipo nazo mkononiNaomba interiors ya hii ndinga
Karibu sana mkuuSoon nitakutafuta , ili niitie mkononi starlet Glanza
Mkuu injini kubwa hii 2500CC, matumizi ya mafuta yamechangamka kiasi chakeVipi kuhusu fuel consumption ya hii?
Ni 2500cc Gari nzuri na stable ila uwe unajiweza kwenye fuel!Vipi kuhusu fuel consumption ya hii?
Mkuu, hiyo ist ya dack blue mbona kama inaonekana ililala muda mrefu sana? Hakuna tatizo kweli?Mkuu injini kubwa hii 2500CC, matumizi ya mafuta yamechangamka kiasi chake
Haina tatizo mkuuMkuu, hiyo ist ya dack blue mbona kama inaonekana ililala muda mrefu sana? Hakuna tatizo kweli?