Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Wewe kuna lugha nyingi za kufanya biashara we unataka maneno au gari kama unaitaka gari tufanye biashara sio unakanda kanda maneno kama hujui we uliza usikariri maisha .Eti maneno ya taarabu hii ni biashara usiwe static mkuu use your knowledge
 
Toyota Brevis
Bei:6.5M
2500CC
Vvti
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180327-WA0041.jpg
IMG-20180327-WA0042.jpg
IMG-20180327-WA0052.jpg
IMG-20180327-WA0048.jpg
 
Offer! Offer !
Toyota Ist mpya(haijatumika bongo, haijasajiliwa)
Inauzwa kwa 10M (milioni 10)
Sina maelezo zaidi wala picha zaidi wakuu zangu mtanisamehe
Mwenyewe kaniambia akitokea mteja serious ndio nimuulize maswali zaidi.
IMG-20180327-WA0111.jpg
 
Nissan blue bird syliphy
Bei imeporomoka kutoka 12M mpaka 9M (fixed )
Pia exchange deal inafaa hasa Noah old model.
Mwaka:2006
1990CC
105000Km
Bei:9M exchange deal na Noah old model ni sawa
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180327-WA0100.jpg
IMG-20180327-WA0101.jpg
IMG-20180327-WA0089.jpg
IMG-20180327-WA0088.jpg
IMG-20180327-WA0096.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom