Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magari yakitoka Zenji yakifika bara si yanapewa usajili mpya?Toyota Ist ya mwaka 2004 namba DPD inauzwa milioni 8.5
Hii gari nilimuuzia mimi mwezi uliopita sasa kuna gari ya juu kaipenda ndio kaamua kutoa hii harakaharaka
Kwa anaejua Ist ukizingatia usajili wake ni mpya hiyo ni bei yakuokota
Nipigie 0658124554 nikuunganishe nae gari iko ArushaView attachment 987990View attachment 987991View attachment 987993View attachment 987994
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kujua bei kwa sasa kwasababu sina hiyo gari kwenye stock yangu
hii kitu bado ipo? imerudiwa rangi mkuu?Corolla 111
Mwaka:1999
134990km
Bei: Milioni 3.8
Mawasiliano:0658124554View attachment 989891View attachment 989892View attachment 989893
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiace
1kz engine
Automatic
Bei: Milioni 9.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 990240View attachment 990244
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya mwaka gani mkuu? Petrol au Diesel?Pick up 110
Bei: Milioni 8
Location:Tanga
Mawasiliano:0658124554View attachment 990586View attachment 990587
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo mkuu , imerudiwa rangihii kitu bado ipo? imerudiwa rangi mkuu?
Ni Petrol mkuu ,mwaka nishamuuliza jamaa atacheki kwenye kadi baadaeYa mwaka gani mkuu? Petrol au Diesel?
Nishamuomba muhusika anipe picha zaidi,nitakuwekea hapa nikizipataMasta ebu picha Zaid ndan na ubavun kujua n ndefu au niaje tujue ka inaeza beba abiria usisahau muonekano wa engine