Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Wadau kuwa na ndinga muhimu sana haswa kwa jiji kama Dar aisee zile kero za daladala, Nnamuomba Mungu kila mwanaume mwenye ndoto yakutembelea gar na iwe kweli kabla ya mwaka huu kwisha, ni raha sana kwenda ukwen na ndinga, raha sana kutoka na wife ukiwa na ndinga n.k
 
Toyota Spacio
1490CC
Bei: Milioni 11.5
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
IMG-20190507-WA0023.jpeg
IMG-20190507-WA0029.jpeg
IMG-20190507-WA0032.jpeg
IMG-20190507-WA0025.jpeg
IMG-20190507-WA0021.jpeg
IMG-20190507-WA0024.jpeg
IMG-20190507-WA0026.jpeg
 
Toyota Brevis
Mwaka :2002
2500CC
Bei: Milioni 8.5
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
IMG-20190509-WA0019.jpeg
IMG-20190509-WA0003.jpeg
IMG-20190509-WA0014.jpeg
IMG-20190509-WA0015.jpeg
IMG-20190509-WA0017.jpeg
 
Sioni gari ya moyo wangu Suzuki escudo Hellyhansen.Mkuu nidokezee
 
Mkuu kazi yetu kuu nikumsaidia mtu kuuza gari yake ndani ya muda mfupi lakini kazi yetu kuu zaidi na kipaombele chetu ni kumsaidia mteja kupata gari anayotaka ikiwa nzima na ikiwa haina magumashi aina yeyote.
Ni mipango yetu kujiboresha zaidi ili kufikia hayo malengo tajwa hapo juu kwa ufanisi zaidi.
Kujibu swali lako ni kwamba hatuna eneo maalumu lakini tunafanya kazi na mtu binafsi, kampuni na hata madalali wengine ili kufikia na kukidhi mahitaji ya wateja wetu. Karibu sana mkuu.
Uaonekana kumcha Mungu,maana naona km msema ukweli vile tofauti na madalali wengine.Vp mna mafundi wa kuthibitisha ubora wa gari b4 hujaiweka sokoni?
 
Uzi umelala Sana siku hizi
Mkuu master of the game
Fun cargo ya 2003 iliyo kwenye Hali nzuri kabisa
Itapatikana kwa Bei gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom