Q 7, imekaa kitemi sana.Audi Q 7 gari lipo humo..
Q 7, imekaa kitemi sana.Audi Q 7 gari lipo humo..
Pana jamaa Arusha akipita bara bara ya East Afrika anakimbia nalo hatari linashika lami kama lipo kwenye reli yake..Q 7, imekaa kitemi sana.
Tofauti na Audi Q 8 huwa ni ipi kubwa kama imeishakuwa na experience nazo zote ?Pana jamaa Arusha akipita bara bara ya East Afrika anakimbia nalo hatari linashika lami kama lipo kwenye reli yake..
Q 8 ni kubwa mzee hata kutoka hii imetoka karibuni na bei pia ipo juu...Tofauti na Audi Q 8 huwa ni ipi kubwa kama imeishakuwa na experience nazo zote ?