B Big Balls JF-Expert Member Joined Feb 26, 2025 Posts 922 Reaction score 1,772 Jun 10, 2025 #21 Isanga family said: Audi Q 7 gari lipo humo.. Click to expand... Q 7, imekaa kitemi sana.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 14,029 Reaction score 34,441 Jun 10, 2025 #22 Cheki chuma hizo. Hapo kama ulisoma binadamu wa kwanza alikuwa nyani ngumu sana kumiliki.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Jun 10, 2025 #23 Big Balls said: Q 7, imekaa kitemi sana. Click to expand... Pana jamaa Arusha akipita bara bara ya East Afrika anakimbia nalo hatari linashika lami kama lipo kwenye reli yake..
Big Balls said: Q 7, imekaa kitemi sana. Click to expand... Pana jamaa Arusha akipita bara bara ya East Afrika anakimbia nalo hatari linashika lami kama lipo kwenye reli yake..
B Big Balls JF-Expert Member Joined Feb 26, 2025 Posts 922 Reaction score 1,772 Jun 10, 2025 #24 Isanga family said: Pana jamaa Arusha akipita bara bara ya East Afrika anakimbia nalo hatari linashika lami kama lipo kwenye reli yake.. Click to expand... Tofauti na Audi Q 8 huwa ni ipi kubwa kama imeishakuwa na experience nazo zote ?
Isanga family said: Pana jamaa Arusha akipita bara bara ya East Afrika anakimbia nalo hatari linashika lami kama lipo kwenye reli yake.. Click to expand... Tofauti na Audi Q 8 huwa ni ipi kubwa kama imeishakuwa na experience nazo zote ?
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Jun 10, 2025 #25 Big Balls said: Tofauti na Audi Q 8 huwa ni ipi kubwa kama imeishakuwa na experience nazo zote ? Click to expand... Q 8 ni kubwa mzee hata kutoka hii imetoka karibuni na bei pia ipo juu...
Big Balls said: Tofauti na Audi Q 8 huwa ni ipi kubwa kama imeishakuwa na experience nazo zote ? Click to expand... Q 8 ni kubwa mzee hata kutoka hii imetoka karibuni na bei pia ipo juu...