Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Ikija kwenye mashindano ya vyombo vya moto, hii Isle Man TT ndio deadliest motorsport event. Toka ianzishwe 1911 ishaondoka na maisha ya riders zaidi ya 260.
Ni event ya mashindano ya superbikes inayofanyika mara moja kwa mwaka, mwezi wa tano au wa sita (huu mwaka imefanyika wa sita), katika milima ya Snaefell, kwenye “nchi” ya Isle Man.
Kwahiyo, hii ni time trial, kila sekunde 10 pikipiki moja inaruhusiwa, mnakua mnazunguka kwenye hii Snaefell course, ina urefu wa kilometa 60. Hii ni public road, sema inafungwa kwaajili ya hii event, speed ni moto, average ya 200 km/h ila kuvuka 320 km/h ni kawaida.
Hii event ina category mbalimbali za pikipiki, tamu zaidi ni Senior TT, hui ni top top wanakua na lap 6, kwahiyo wanacover karibia kilometa 360. Lap moja uwa wanaimaliza ndani ya dakika 17 hivi, kwahiyo izo kilometa 360 wanatumia kama saa 1 na dakika 40, ikiwa pamoja na kusimama mara mbili kwaajili ya kuweka mafuta na kubadirisha tyres.
Yaani, Dar hadi Kibaigwa watatumia chini ya saa 1 na nusu.
Ukipata muda siku angalia YT hawa jamaa. Mfano mwaka huu imeisha tar 06 June, kwenye senior mshindi ni Dean Harrison.