Wapenzi wa Mashindano ya Pikipiki, mnaangaliaga “Isle of Man TT”? Mashindano ya vyombo vya moto ya Hatari zaidi Duniani!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Ikija kwenye mashindano ya vyombo vya moto, hii Isle Man TT ndio deadliest motorsport event. Toka ianzishwe 1911 ishaondoka na maisha ya riders zaidi ya 260.
IMG_8971.jpeg

Ni event ya mashindano ya superbikes inayofanyika mara moja kwa mwaka, mwezi wa tano au wa sita (huu mwaka imefanyika wa sita), katika milima ya Snaefell, kwenye “nchi” ya Isle Man.
IMG_8972.png

Kwahiyo, hii ni time trial, kila sekunde 10 pikipiki moja inaruhusiwa, mnakua mnazunguka kwenye hii Snaefell course, ina urefu wa kilometa 60. Hii ni public road, sema inafungwa kwaajili ya hii event, speed ni moto, average ya 200 km/h ila kuvuka 320 km/h ni kawaida.
IMG_8974.jpeg

Hii event ina category mbalimbali za pikipiki, tamu zaidi ni Senior TT, hui ni top top wanakua na lap 6, kwahiyo wanacover karibia kilometa 360. Lap moja uwa wanaimaliza ndani ya dakika 17 hivi, kwahiyo izo kilometa 360 wanatumia kama saa 1 na dakika 40, ikiwa pamoja na kusimama mara mbili kwaajili ya kuweka mafuta na kubadirisha tyres.
IMG_8973.jpeg

Yaani, Dar hadi Kibaigwa watatumia chini ya saa 1 na nusu.

Ukipata muda siku angalia YT hawa jamaa. Mfano mwaka huu imeisha tar 06 June, kwenye senior mshindi ni Dean Harrison.
 
Ikija kwenye mashindano ya vyombo vya moto, hii Isle Man TT ndio deadliest motorsport event. Toka ianzishwe 1911 ishaondoka na maisha ya riders zaidi ya 260.
View attachment 3602675
Ni event ya mashindano ya superbikes inayofanyika mara moja kwa mwaka, mwezi wa tano au wa sita (huu mwaka imefanyika wa sita), katika milima ya Snaefell, kwenye “nchi” ya Isle Man.
View attachment 3602672
Kwahiyo, hii ni time trial, kila sekunde 10 pikipiki moja inaruhusiwa, mnakua mnazunguka kwenye hii Snaefell course, ina urefu wa kilometa 60. Hii ni public road, sema inafungwa kwaajili ya hii event, speed ni moto, average ya 200 km/h ila kuvuka 320 km/h ni kawaida.
View attachment 3602673
Hii event ina category mbalimbali za pikipiki, tamu zaidi ni Senior TT, hui ni top top wanakua na lap 6, kwahiyo wanacover karibia kilometa 360. Lap moja uwa wanaimaliza ndani ya dakika 17 hivi, kwahiyo izo kilometa 360 wanatumia kama saa 1 na dakika 40, ikiwa pamoja na kusimama mara mbili kwaajili ya kuweka mafuta na kubadirisha tyres.
View attachment 3602674
Yaani, Dar hadi Kibaigwa watatumia chini ya saa 1 na nusu.

Ukipata muda siku angalia YT hawa jamaa. Mfano mwaka huu imeisha tar 06 June, kwenye senior mshindi ni Dean Harrison.

Ajali zilizosababisha vifo ni ngapi? ... na ngapi zimesababisha vilema?
NB: Mimi binafsi ni mpenzi wa kuendesha pikipiki, lakini kuangalia hayo mashindano siwezi!

View: https://youtu.be/STiP6at--7Y
 
Motor 2 iko live
Motor 3 saa saba mchana
Motor GP saa tisa alasiri

Ufafanuzi,
Hizi kwenye mpira tungesema Motor GP ni EPL, Motor 2 ni Championship na Motor 3 ni League One. Hapo vipi?

Tukienda deep kidogo:

Motor GP ni mashindano ya pikipiki kubwa, superbikes, ni prototype huwezi ikutwa inauzwa, cc 1,000 kwenda juu, v4 au inline-4, 250-300 hp, speed 360 km/h, uzito wa bike max 157 Kg, Makampuni makubwa kama KTM, Ducati, nk.

Motor 2 hapa pikipiki za kati, engine cc 765, 3 - cylinder (engine zote za Triumph), 140 hp, top speed 300 km/h, uzito wa bike 144 Kg.

Motor 3 ni entry level, engine 250 cc, single cylinder 4-stroke, 60 hp, speed 245 km/h, uzito (dereva na bike) minimum 152 Kg.
 
Nimekupata,
Mbali na motor gp kuna aina nyingine za kufanana na hii?
 
Ya pikipiki au hadi magari? MotoGP ni best au tusepe top tournament ndio maana kila mtu anaipenda. Fanya ufatilie World Superbike Championship (WorldSBK) nayo ni kama MotoGP sema yenyewe ni pikipikia za production sio prototype. Inamaana pikipiki amabazo ata wewe ukiwa na hela unaweza kwenda kuinunua mfano: Ducati Panigale V4R, Yamaha R1, Ninja 10 RR.

Nyingine ya kupima endurance na reliability ya pikipiki, Endurance World Championship, hapa wanaendesha pikipiki kwa masaa either 8 Suzuka au 24 kwenye Le Mans. Madereva wanaendesha hafu unabreak unamuachia mwingine aendelee. Non stop.
 
Back
Top Bottom