Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Tatizo sipendi series za kikorea!..Lee Byung Hun, yupo vizuri kuna series yake mpya inaitwa Mr Sunshine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo sipendi series za kikorea!..Lee Byung Hun, yupo vizuri kuna series yake mpya inaitwa Mr Sunshine
Anaondoka aseh!.. Sijui ndio Captain America anaenda kufa kama comic au watamfanyaje!.
Dah,Anaondoka aseh!.. Sijui ndio Captain America anaenda kufa kama comic au watamfanyaje!.
Mkuu hii link ni ya ku download kweli??Salute..
Kwa wale wapenzi Wa muvi za mkongoto na ubabe basi jina LA Iko Uwais so ngeni sana kwenu.
View attachment 889017
Jamaa in mwigizaji kutoka Indonesia, anapiga karate hatare, mapigo Yale ya kuvunja vunja mifupa kama Tonny Jaa au Donie Yen. Kwa sasa naona hana mpinzani maana hao niliowataja washachuja kiuigizaji pia umri umeeenda.
View attachment 889020
Kama hujamcheki huyu jamaa naombeni muangapie muvi hizi basi mtakuja kuniunga mkono kua jamaa anajua
View attachment 889035View attachment 889036View attachment 889038View attachment 889040View attachment 889042View attachment 889044View attachment 889046
Kama una roho nyepesi hupendi kuona watu wanavunjwa vunjwa usitizame..
Download hapa muvi za Iko Uwais..
>>>>> https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjAgegQIAhAB&usg=AOvVaw0i2dz-Lk3iE4RCp7Pf_62X
Cc
Wick James Comey pamjela Mwamba028 Dominica Simeon miss IQ
Nani Michael j white au maana na yeye ni shidah,mtoa mada ulipo weka the raid imenibidi kukubalianana wewe jamaa aweza kuwa mrithi wa hao wababe
ila kuna black mmoja nae ana ngumi tamu sana simkumbuki jina, kuna muvi moja aliigiza akiwa gerezani kama sikosei alitoa mkong'oto wa haja mule
Boyka yupo vizuri halafu nilijua ni mrusi kumbe muingerezaPicha za mapigano siku izi mtu yeyote anaweza kutokana na technology iliyopo
Mara nyingi casting inafanyika kutokana na umaarufu wa actor katika soko la filamu na uchaguzi wa waandaaji wa filamu ( Hollywood is the one who decided)
Actor kama Scot Adkins al maarufu kama Boyka ni mzuri sana kwenye mapigano kuwazidi hata wakina Jason Statham lakini kipindi chote alikuwa hajulikani ingawa ameshiriki muvi nyingi sana maarufu ambazo ukiambiwa huwezi kuamini kama yupo kwenye muvi izo maana ulikuwa umjui mpaka pale alipocheza Undisputed kama adui boyka ndipo alipotambulika na kuanza kua casted kama starring
So huyo Iko Uwais kwa sasa yuko vizuri ndio maana unamkuta katika muvi za A class actors (Hollywood) kama Mark Wahlberg hiyo 22 Miles
Kuna actors wakubwa wa Asia ambao walikuwa wanatamani sana Hollywood lakini hawakufanikiwa hivyo jamaa ndio wakati wake huu

Uko vizuri sana!Inaitwa redemption...
Blood and bone unaijua?
Michael J WhiteBlood and bone? Jamaa moja kavimba hivi?
Mkuu kwema?Anajitahidi lakini bado hajafikia level za kina Jack Chan, Dony Yen, Jet Lee, Daniel Wu.
Avengers nzima niliowafatilia movie zao nyingine ni Scarlett johnson na Josh BrolinDah,
haitanoga bila huyu mchizi,
Movie zake hua nazikubali sana,
Sema kuna ile yaitwa PUSH naona kama kaboa hivi.
Unamsemea "Wesley Snipes" nini?mtoa mada ulipo weka the raid imenibidi kukubalianana wewe jamaa aweza kuwa mrithi wa hao wababe
ila kuna black mmoja nae ana ngumi tamu sana simkumbuki jina, kuna muvi moja aliigiza akiwa gerezani kama sikosei alitoa mkong'oto wa haja mule