MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
UKIMUANGALIA ALIVYO UTASEMA TAYLOR SWIFT KUNA MOVIE IKO NJIAN MWAKANJ HAPO KACHEZA NA TONY JAA NAONA ITAKUA MOTO NAONAGA POST ZAKE INSTAGRAMDaaah basi ana roho ya putin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKIMUANGALIA ALIVYO UTASEMA TAYLOR SWIFT KUNA MOVIE IKO NJIAN MWAKANJ HAPO KACHEZA NA TONY JAA NAONA ITAKUA MOTO NAONAGA POST ZAKE INSTAGRAMDaaah basi ana roho ya putin
Angelina Jolie naye yupo vizuri sana hasa kwenye kung fu panda na Tomb Rider 1kcamp said:Hahaha mbish sana yule
Itakua yamoto hiyo..ngoja nimfollow chapUKIMUANGALIA ALIVYO UTASEMA TAYLOR SWIFT KUNA MOVIE IKO NJIAN MWAKANJ HAPO KACHEZA NA TONY JAA NAONA ITAKUA MOTO NAONAGA POST ZAKE INSTAGRAM
Lakini ni halfcast yule then kama unafuatilia korean drama kuna yule jamaa wa kwenye moon lovers na joseon gunman nae yupo kwenye Resident evil 6="MAJIYAPWANI, post: 28723704, member:]UKIMUANGALIA ALIVYO UTASEMA TAYLOR SWIFT KUNA MOVIE IKO NJIAN MWAKANJ HAPO KACHEZA NA TONY JAA NAONA ITAKUA MOTO NAONAGA POST ZAKE INSTAGRAM
NA IP MAN 4 YUPO SCOTT ADKIN (BOYKA) ITAKUA FAYAItakua yamoto hiyo..ngoja nimfollow chap
NA IP MAN 4 YUPO SCOTT ADKIN (BOYKA) ITAKUA FAYA
Nashukuru mkuu, ongezea na ice mankutaja list ya movies zote hizo za Donnie bila kuiweka The Dragon Tiger Gate haujaitendea haki list yako
Chamber what are you waiting for? The bellPicha za mapigano siku izi mtu yeyote anaweza kutokana na technology iliyopo
Mara nyingi casting inafanyika kutokana na umaarufu wa actor katika soko la filamu na uchaguzi wa waandaaji wa filamu ( Hollywood is the one who decided)
Actor kama Scot Adkins al maarufu kama Boyka ni mzuri sana kwenye mapigano kuwazidi hata wakina Jason Statham lakini kipindi chote alikuwa hajulikani ingawa ameshiriki muvi nyingi sana maarufu ambazo ukiambiwa huwezi kuamini kama yupo kwenye muvi izo maana ulikuwa umjui mpaka pale alipocheza Undisputed kama adui boyka ndipo alipotambulika na kuanza kua casted kama starring
So huyo Iko Uwais kwa sasa yuko vizuri ndio maana unamkuta katika muvi za A class actors (Hollywood) kama Mark Wahlberg hiyo 22 Miles
Kuna actors wakubwa wa Asia ambao walikuwa wanatamani sana Hollywood lakini hawakufanikiwa hivyo jamaa ndio wakati wake huu
Unakumbuka Ant man 1 van dyke mke wake alipotelea kwenye quantum realm (alijipunguza ukubwa akafika point of no return) halafu mwishoni Ant man nae akafanya vile vile ila akacheza na akili yake akaweza rudi duniani!, Van dyke akabaki anaponder kama inawezekana mke wake akawa hai kule Quantum realm muda wote huo!.Wick Ant man and Wasp sijaelewa kabisa sehem moja hivi.
Pale yule Mzee anapanda chombo mile anaend sehem hivi anakutana na mbibi . kule ni wapi na alienda kufanya mini?
Eliminator ya scot?WAINGEREZA WABAGHILI SANA KUWEKA PESA KWENYE MOVIE ANGALIA MFANO ELIMINATOR ILE MOVIE KALI ILA BAJETI YA KIBOYA SANA AISEE
yeapEliminator ya scot?
Jamaa bahir sana yule...movie zake zote low budget...ndiomana anafelyeap
may be anaangalia soko la uingereza zaidiJamaa bahir sana yule...movie zake zote low budget...ndiomana anafel
Kwaiyo uingereza ndio wanapenda low budget ? Bas atapata tabu sana[emoji3][emoji3]may be anaangalia soko la uingereza zaidi
makampuni ya ya filamu ya marekani yani figisu sana bila kutia mkono wao kwenye movie yako haifiki mbali we angali wachina wamehangaika weeh wenyewe wamerudi marekaniKwaiyo uingereza ndio wanapenda low budget ? Bas atapata tabu sana[emoji3][emoji3]
makampuni ya ya filamu ya marekani yani figisu sana bila kutia mkono wao kwenye movie yako haifiki mbali we angali wachina wamehangaika weeh wenyewe wamerudi marekani