Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

="MAJIYAPWANI, post: 28723704, member:]UKIMUANGALIA ALIVYO UTASEMA TAYLOR SWIFT KUNA MOVIE IKO NJIAN MWAKANJ HAPO KACHEZA NA TONY JAA NAONA ITAKUA MOTO NAONAGA POST ZAKE INSTAGRAM
Lakini ni halfcast yule then kama unafuatilia korean drama kuna yule jamaa wa kwenye moon lovers na joseon gunman nae yupo kwenye Resident evil 6
 
WAINGEREZA WABAGHILI SANA KUWEKA PESA KWENYE MOVIE ANGALIA MFANO ELIMINATOR ILE MOVIE KALI ILA BAJETI YA KIBOYA SANA AISEE
 
Picha za mapigano siku izi mtu yeyote anaweza kutokana na technology iliyopo

Mara nyingi casting inafanyika kutokana na umaarufu wa actor katika soko la filamu na uchaguzi wa waandaaji wa filamu ( Hollywood is the one who decided)

Actor kama Scot Adkins al maarufu kama Boyka ni mzuri sana kwenye mapigano kuwazidi hata wakina Jason Statham lakini kipindi chote alikuwa hajulikani ingawa ameshiriki muvi nyingi sana maarufu ambazo ukiambiwa huwezi kuamini kama yupo kwenye muvi izo maana ulikuwa umjui mpaka pale alipocheza Undisputed kama adui boyka ndipo alipotambulika na kuanza kua casted kama starring

So huyo Iko Uwais kwa sasa yuko vizuri ndio maana unamkuta katika muvi za A class actors (Hollywood) kama Mark Wahlberg hiyo 22 Miles

Kuna actors wakubwa wa Asia ambao walikuwa wanatamani sana Hollywood lakini hawakufanikiwa hivyo jamaa ndio wakati wake huu
Chamber what are you waiting for? The bell

The last man standing maamaee
 
Wick Ant man and Wasp sijaelewa kabisa sehem moja hivi.
Pale yule Mzee anapanda chombo mile anaend sehem hivi anakutana na mbibi . kule ni wapi na alienda kufanya mini?
 
Wick Ant man and Wasp sijaelewa kabisa sehem moja hivi.
Pale yule Mzee anapanda chombo mile anaend sehem hivi anakutana na mbibi . kule ni wapi na alienda kufanya mini?
Unakumbuka Ant man 1 van dyke mke wake alipotelea kwenye quantum realm (alijipunguza ukubwa akafika point of no return) halafu mwishoni Ant man nae akafanya vile vile ila akacheza na akili yake akaweza rudi duniani!, Van dyke akabaki anaponder kama inawezekana mke wake akawa hai kule Quantum realm muda wote huo!.
Basi Part 2 inahusu kufanya research waende quantum realm kumfata mke/mama yao!. Ndio yule mbibi waliyerudi nae ingawa alipotelea mule akiwa kasichana!.
Mwishoni Antiman nae anabaki huko baada ya Thanos kufanya yake!.
 
Kwaiyo uingereza ndio wanapenda low budget ? Bas atapata tabu sana[emoji3][emoji3]
makampuni ya ya filamu ya marekani yani figisu sana bila kutia mkono wao kwenye movie yako haifiki mbali we angali wachina wamehangaika weeh wenyewe wamerudi marekani
 
Ila scot kazid...movie zake skuiz hovyo sana...story had budget..
makampuni ya ya filamu ya marekani yani figisu sana bila kutia mkono wao kwenye movie yako haifiki mbali we angali wachina wamehangaika weeh wenyewe wamerudi marekani
 
Back
Top Bottom