Wapenzi wa muziki wa bongo fleva, wimbo wa lonely wa Mario unaupa rank namba ngapi kwa ngoma kali za kufunga mwaka 2022?

Wapenzi wa muziki wa bongo fleva, wimbo wa lonely wa Mario unaupa rank namba ngapi kwa ngoma kali za kufunga mwaka 2022?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Wadau wa bongo fleva,

Kila mara anaongelewa. Diamond, ali kiba, Harmonize, Rayvanny, Nandy na Zuchu. Huyu dogo mario haongelewi sana.

Leo nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo zake za album yake mpya. Nimegundua dogo kazi anaweza.

Mojawapo ya nyimbo yake iitwayo lonely aliyoshirikiana na Abba kwenye beat ni bonge la ngoma la kufungia mwaka.

Mpaka nimeshindwa niipe namba ngapi kwa ngoma kali zilizotoka december hii.

Billnass amefunga mwaka na Pu

Diamond amefunga mwaka na chitaki

Mario amefunga mwaka na Lonely

Na wasanii wengine kibao wamefunga mwaka kwa ngoma kali. Je, lonely ya mario mnaipa namba ngapi na kwa sababu gani?
 
Mwenzako sisikii, sioni, am lonely......umejuaje huu wimbo tangia jana unaload kichwani. Hizo nyimbo zote ulizotaja ni nzuri, kwahiyo zote ni no1[emoji56]
 
Hii album ni kali sana hata hiyo ngoma ya Lonely na I miss you ndio my favourite
 
Wadau wa bongo fleva,

Kila mara anaongelewa. Diamond, ali kiba, Harmonize, Rayvanny, Nandy na Zuchu. Huyu dogo mario haongelewi sana.

Leo nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo zake za album yake mpya. Nimegundua dogo kazi anaweza.

Mojawapo ya nyimbo yake iitwayo lonely aliyoshirikiana na Abba kwenye beat ni bonge la ngoma la kufungia mwaka.

Mpaka nimeshindwa niipe namba ngapi kwa ngoma kali zilizotoka december hii.

Billnass amefunga mwaka na Pu

Diamond amefunga mwaka na chitaki

Mario amefunga mwaka na Lonely

Na wasanii wengine kibao wamefunga mwaka kwa ngoma kali. Je, lonely ya mario mnaipa namba ngapi na kwa sababu gani?
Huu wimbo mkali sana ila sifa ziende Loui aliyeutunga maana marioo alikuta ushatungwa na loui na kaimba verse zote. abha akafanya kufuta verse ya pili airudie marioo baada ya kumwomba ukae kwa album yake na bado management ya loui ikashindwa elewana na ya mario ikabidi na verse ya kwanza waifute airudie marioo. Ndiyo maana wimbo una version 2, moja yumo loui na ya pili ambayo iko kwa album loui hayumo.
Loui hakuwa na shida maana wimbo ulikuwa wa abha ila management yake iliingiwa na tamaa
 
Back
Top Bottom