Wadau wa bongo fleva,
Kila mara anaongelewa. Diamond, ali kiba, Harmonize, Rayvanny, Nandy na Zuchu. Huyu dogo mario haongelewi sana.
Leo nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo zake za album yake mpya. Nimegundua dogo kazi anaweza.
Mojawapo ya nyimbo yake iitwayo lonely aliyoshirikiana na Abba kwenye beat ni bonge la ngoma la kufungia mwaka.
Mpaka nimeshindwa niipe namba ngapi kwa ngoma kali zilizotoka december hii.
Billnass amefunga mwaka na Pu
Diamond amefunga mwaka na chitaki
Mario amefunga mwaka na Lonely
Na wasanii wengine kibao wamefunga mwaka kwa ngoma kali. Je, lonely ya mario mnaipa namba ngapi na kwa sababu gani?