Wapenzi wa Muziki wa Country tukutane hapa

Mimi nafuatilia sana Country kwa sababu naupenda.
Naona watu wengi wameshikilia wanamuziki wa Zamani wakati wapo Vijana wapo juu sana kwa sasa
Jaribu hawa wa sasa wanaouza copy kwa mamilion huko Marekani na Ulaya
1. Lady Antebellum
2. Blake Shelton
4. Canaan Smith
5. Chris Young
6. Luke Byan
7. Sarah Evans
8. Tim Mc Graw
9. Carrie Underwood
10. Dan + Shy, Miranda na wengine Kibao

Kwa watu wanaofuatilia Country chat hao ndio wapo juu kwa sasa...na wengine wengi wenye majina mapya kabisa
 
Her songs are too practical.

Kuna wimbo analalamika asichukuliwe mume wake.

Unaitwa Jolene!

Pia baada ya SEPTEMBER ELEVEN alitunga wimbo unaitwa Hello God, utafute uusikilize ni super!
 
Im so afraid of loving u again......charley p.......my beast song
 
The Gentle Giant, nitarudi tena

Kati ya waimbaji wote wanaopiga muziki wa Country..." i adore Don Williams, THE GENTLE GIANT"... Don Williams | THE OFFICIAL WEBSITE ... nyimbo zake zimetulia kiukweli ... zina vuta hisia, pamoja na sauti yake nzuri. Ingawa umri(76) umeenda ila ametendea haki kipaji chake. Kwangu mimi wengine wanafuata...
















.....
 
Last edited by a moderator:

atakuwa Don Williams bila shaka....
 
Kitu kama 'Jolly dont take my love to town'

Hapo umeteleza kidogo ni Ruby badala ya Jolly na sio Jolly ni Jolene

[h=1]Kenny Rogers - Ruby, Don't Take Your Love To Town[/h]
[h=1]Dolly Parton - Jolene[/h]
 
Last edited by a moderator:
Daaaaa dolly parton na kenny rogers kwenye we got tonight aisee wapo vizur
 
Mkipata mda mtafuteni huyu jamaa anaitwa luke brian
 
Playlist ya Usiku wa leo....

[h=1]Mark Knopfler & Emmylou Harris - If This is Goodbye[/h]
[h=1]Mark Knopfler & Emmylou Harris - All the Roadrunning[/h]

[h=1]Mark Knopfler & Chet Atkins Poor boy blues[/h]
[h=1]Emmylou Harris : I Still Miss Someone[/h]
[h=1]Josh Turner - I Wouldn't Be A Man[/h]
[h=1]Lee Brice - Woman Like You[/h]
[h=1]Blake Shelton - Mine Would Be You[/h]
[h=1]Toby Keith - I Love This Bar[/h] [h=1]Rascal Flatts - I'm Movin' On[/h]
[h=1][/h]
 
Last edited by a moderator:
This is John Cash. Folsom prison, Ring on fire si mchezo. John Cash ndio best kwenye list yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…