Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is John Cash. Folsom prison, Ring on fire si mchezo. John Cash ndio best kwenye list yangu
Kwa hiyo ni wewe yu ndio unajua kuwa hayo ni ya waimbaji?
Umekimbilia kuandika ukizani?
Kwa hiyo haujui maana ya ...nyimbo hizi....
Au kaongelea nyimbo gani kwenye uzi huu? Nimeandika sababu sina muda wa kuongelea lolote zaidi.
Basi ukajiona mshindiiiii
Kati ya waimbaji wote wanaopiga muziki wa Country..." i adore Don Williams, THE GENTLE GIANT"... Don Williams | THE OFFICIAL WEBSITE ... nyimbo zake zimetulia kiukweli ... zina vuta hisia, pamoja na sauti yake nzuri. Ingawa umri(76) umeenda ila ametendea haki kipaji chake. Kwangu mimi wengine wanafuata...
.....
Nashangaa hata mtoa mada kwenye "top ten" yake hajamuweka the legendary Jimmy Reeves!!!
naona mpo na country za enzi hizo tu wakuu,kuna country zozote nzuri za karne hii ya 21???
!
!
"Lord, I Hope This Day Is Good"
Lord, I hope this day is good
I'm feelin' empty and misunderstood
I should be thankful, Lord, I know I should
But Lord I hope this day is good
Lord, have you forgotten me
I've been prayin' to you faithfully
I'm not sayin' I'm a righteous man
But Lord I hope you understand
I don't need fortune and I don't need fame
Send down the thunder, Lord, send down the rain
But when you're plannin' just how it will be
Plan a good day for me
Lord, I hope this day is good
I'm feelin' empty and misunderstood
I should be thankful, Lord, I know I should
But Lord I hope this day is good
You've been the King since the dawn of time
All that I'm askin' is a little less crime
It might be hard for the devil to do
But it would be easy for you
Lord, I hope this day is good
I'm feelin' empty and misunderstood
I should be thankful, Lord, I know I should
But Lord I hope this day is good
Shania Twyne (not sure of the spelling)
Hawezi kumfahamu Jim Reeves huyo, kwani alifariki 1964!
Na Charley Pride ambaye ni black american wa kwanza kuimba country music. His biggest hit "Kiss an angel good morning"
My favorite kwa Bellamy brothers ni let your love flow jamaniiiii naupenda
Hicho kikipigwa naacha kwanza kitu chochote nitachokua nafanya. Hata kama ni.....!'if i said u had a beautiful body would u hold it against me'.ni kibao chao kingne kikali hao jamaa aisee.
Hivi kwa wamama kuna zaidi ya Dolly parton kweli..? Kwenye hizi nyimbo za country
Huyo ni Master Don Williams, ni nyimbo ya zamani sana huwezi kuamini lakini naikumbuka kwenye 1983 miaka hiyo niko maulaya.