Wapenzi wa Muziki wa Country tukutane hapa

Wapenzi wa Muziki wa Country tukutane hapa

Don williams anakwambia ".....super man and Robin hood are still alive in Hollywood".
 
Wakuu nawasalimu habari za hapa jamvini
Karibuni sana katika mjadala huu ambao umelenga hasa kusaidiana kujua zaidi ya huu mziki wa country ambao ni mziki unaokongo moyo na kukufanya kama unashida usahau kwa mda..
kwangu mm nilipenda kujua zaidi wakali wa hiz nyimbo...kwa sasa top ten zangu ni
1. Don william
2.Kenny roggers
3.Dolly parton
4.Alan Jackson
5.John cash
6.george strait
7. Tim mcGraw
8.Taylor swift
9.John Denver
10.george florida

sijaona katika list yako wakal wafuatao

Collin raye -
nyimbo zake
love, one boy one girl, he didnt have to be,

kenny chesney

then sikiliza
pia a "bible and a bus ticket"
 
Habari za muda huu wakuu,
Mie ni mdau mchanga wa country, napenda kusikiliza muda mwingi sanaaa karibia kila siku ila sasa play list yangu haijawahi kubadilika kwa kupata miziki mipya ya countries.

Wale wenzangu na mimi tupeane updates za nyimbo mpya na nzuri za country.
Mie naanzia hapa ingawa niza kitambo....

Don Williams - atta way to go
Don Williams - i believe in love
Don Williams - county bumpkin
Don Williams - its good to see you
....…............... - country roads

Karibuni wadau
 
Cheki pia
It must be love
So broken heart never mend

Zote za don Williams.

Pia cheki
Coward of the county.
The Gambler.
Lucille.
Za Kenny Rogers

Kama pia uko interested na zenye ma hadhi ya dini kwa mbali cheki

This world is not my home.
Across the Bridge .
Take my hand precious Lord.
We thank thee.

Za Jim Reeves

Wacha niishie hapa kwa sasa.
 
Don williams- we should be together
Don Williams- fare well
Don Williams- Amanda
Don Williams- country boy
 
Unapenda nyimbo za country au unapenda nyimbo za don Williams? Nadhani wewe utakuwa hujui country music
 
Cheki pia
It must be love
So broken heart never mend

Zote za don Williams.

Pia cheki
Coward of the county.
The Gambler.
Lucille.
Za Kenny Rogers

Kama pia uko interested na zenye ma hadhi ya dini kwa mbali cheki

This world is not my home.
Across the Bridge .
Take my hand precious Lord.
We thank thee.

Za Jim Reeves

Wacha niishie hapa kwa sasa.
Asantee sanaa mkuu ngoja nipite nazo
 
Shania Twain
Tim Macgraw
Trisha Yearwood
....


You raise me up

kiss an angel goodmorning ya Charlie Pride

Don williams- we should be together
Don Williams- fare well
Don Williams- Amanda
Don Williams- country boy

Listen to the radio... Don williams kwenye laptop yangu zimejaa
Asantee sanaaa wakuu
Hapo nimepata kadhaa ambazo cjawahi kuzickia, nitazifanyia kazi
 
Back
Top Bottom