Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Mfano baadhi ya Ndizi za huku niliko wanasema zinasaidia sana kulainisha maeneo ya wanawake! Sijui kuna ukweli hata!
Huku kuna watu si wanaume si wanawake ni asubuhi mchana jioni ni ndizi ndizi ndizi ukiwapa chakula kingine hujawatendea haki kabisa!!
Hama huko mrembo
 
Upo kwa wahaya?
 
Bila picha ya ndiz umetuonea😂😂
 
Je ni hatua gani unazoweza kuzichukua ili mlo huu usiwe na mafuta mengi? maana ndizi zimekaangwa, nyama zimekaangwa na bado mchanganyiko wa nyanya na karoti pia unakaangwa na mafuta kabla ya kutumbukiza ndizi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…