Wapenzi wa pombe kali usiache kupitia huu Uzi!

Wapenzi wa pombe kali usiache kupitia huu Uzi!

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Niliacha kunywa bia baada ya kufikia hatua ya kunywa kreti moja ya castle lite bila kulewa ikabidi nihamie kwenye pombe kali.
Kama hizi:

K VANT

KONYAGI
BEFFEATER LONDON
THE FAMOUS GROUSE
JAMESON
SMIRNOFF VODKA
JACK DANIEL
BACARDI
VICERORY
AMARULA
HENNESY
BAILEY'S
GORDON'S
BALLANTINES
J&B
RED LABEL
AMBASSADOR
MC DOWELLS
CAPTAIN MOGAN (The best kwangu)
CONTESS
TEACHERS
MATEUS
GRANTS
BLACK LABEL
J.P CHENET

Baada ya kumaliza kupiga vyombo unachukua tikila ya ZAPPA au CAMPARI unapima zako single au Double.
 
Aisee

Umesahau Absolute Vodka Hahahaha acha kabisa Jameson
 
Waiter zungusha hapa Bapa na Dompo

Peleka meza ile Bapa & Grants usisahau ice cube waiter

Nenda kule jikon mwambie mpishi alete mchemsho wa kongoro mwambie aweke bomba pilipili nyingi tena kwa sana

Mi nipo paleeeeeeh
Aiseeeee wewe kweli mlevi hahahahahahhahahah uwiiiii mm nataka supu ya mkia au kama ulimi upo niletee nusu
 
Back
Top Bottom