Wapenzi wa pombe kali usiache kupitia huu Uzi!

Wapenzi wa pombe kali usiache kupitia huu Uzi!

Niliacha kunywa bia baada ya kufikia hatua ya kunywa kreti moja ya castle lite bila kulewa ikabidi nihamie kwenye pombe kali.
Kama hizi:

K VANT

KONYAGI
BEFFEATER LONDON
THE FAMOUS GROUSE
JAMESON
SMIRNOFF VODKA
JACK DANIEL
BACARDI
VICERORY
AMARULA
HENNESY
BAILEY'S
GORDON'S
BALLANTINES
J&B
RED LABEL
AMBASSADOR
MC DOWELLS
CAPTAIN MOGAN (The best kwangu)
CONTESS
TEACHERS
MATEUS
GRANTS
BLACK LABEL
J.P CHENET

Baada ya kumaliza kupiga vyombo unachukua tikila ya ZAPPA au CAMPARI unapima zako single au Double.
umesahau choya dengerua na squd
 
Grants chupa kubwa na glass inakuwa mali yako. Pata ice cubes na Pepsi au Cococola bila kusahau vipande vya ndimu
 
Grants chupa kubwa na glass inakuwa mali yako. Pata ife cubes na Pepsi au Cococola bila kusahau vipande vya ndimu

IMG_7030.jpg

Inakuaga ni [emoji91]
 
Back
Top Bottom