Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa hawa wanabwia hatariPemben umekumbatia toto la Uhasibuuuu
Yani mfano safari mara inukie apple mara tamu mara chunguOook kweli nilisahau kama kuna bia hizo alafu zina harufuu kaliii
Ni vikosi vya mizinga, ukiingia anga zao utabembelezwa mpaka utashukuru kuja Singida,Nasikia saivi wamefulia wanawachuna hatari
Hahahahaha nimecheka kifala nipo na rafiki yangu hapa tunatembea kuna muda nimeingia toilet nachat nimetoka nachat kaniambia nahisi huko toilet unajisikia raha sana hata kwenda haja na simu mkononiKuja jamaa yangu mlokole hapa ananicheki napambana na simu halafu ninatabasamu, angejua tunajadili pombe hata asingejibu tabasamu langu, hahahaa, Mungu ni wa ajabu
Hahahaaa, ashukuriwe Maxence MelloHahahahaha nimecheka kifala nipo na rafiki yangu hapa tunatembea kuna muda nimeingia toilet nachat nimetoka nachat kaniambia nahisi huko toilet unajisikia raha sana hata kwenda haja na simu mkononi
Afadhali... shida yote ya nini!!Kama nimefulia, "...nipatie Malta za Bakhresa hapa!"Grandmalta
Redbull
Kung-Fu
Fanta passion
Mirinda
Sijui umejuaje, tena wa chekechea! Hapa ni full Vimto kwa wanafunzi wangu...Wewe itakuwa mwalimu si bureeee
Kama umesha achana na kale katoto basi kuja huku, hivyo ndiyo vitu tutakuwa tunagonga. Harafu ni zaidi ya amarula kwa kuongeza nguvu za pande zote mbili. Ndiyo maana kibabu cha miaka 60 naitumia na kuipenda.Waoooooooh
Waoooh ngoja tutengeneze appointment hahahahaKama umesha achana na kale katoto basi kuja huku, hivyo ndiyo vitu tutakuwa tunagonga. Harafu ni zaidi ya amarula kwa kuongeza nguvu za pande zote mbili. Ndiyo maana kibabu cha miaka 60 naitumia na kuipenda.
Poa, ukiwa tayari nistue.Waoooh ngoja tutengeneze appointment hahahaha