Wapenzi wa pombe kali usiache kupitia huu Uzi!

Singida sehemu gani?Nimeshawahi kukaa huko
Hahahahaaa, Ginery huku maeneo ya uhasibu, kuna bar maarufu za kizamani chache kama Rwezaura, Serengeti na Kirima,

But usipotaka fujo kuna Cresta, Regency, Kbh na infinity.

Mwanzoni singida nilikuwa napita naona kukame but nimekuja nimekuta kuna raha yake ungawa ni padogo na wadada wana huruma sana
 
Niliacha kunywa bia baada ya kufikia hatua ya kunywa kreti moja ya castle lite bila kulewa ikabidi nihamie kwenye pombe kali.
Kama hizi:

K VANT

KONYAGI
BEFFEATER LONDON
THE FAMOUS GROUSE
JAMESON
SMIRNOFF VODKA
JACK DANIEL
BACARDI
VICERORY
AMARULA
HENNESY
BAILEY'S
GORDON'S
BALLANTINES
J&B
RED LABEL
AMBASSADOR
MC DOWELLS
CAPTAIN MOGAN (The best kwangu)
CONTESS
TEACHERS
MATEUS
GRANTS
BLACK LABEL
J.P CHENET

Baada ya kumaliza kupiga vyombo unachukua tikila ya ZAPPA au CAMPARI unapima zako single au Double.
ha ha ha ha ha ha
 
Hahahahaaa, Ginery huku maeneo ya uhasibu, kuna bar maarufu za kizamani chache kama Rwezaura, Serengeti na Kirima,

But usipotaka fujo kuna Cresta, Regency, Kbh na infinity.

Mwanzoni singida nilikuwa napita naona kukame but nimekuja nimekuta kuna raha yake ungawa ni padogo na wadada wana huruma sana
ngoja niombe uamisho niamie huku
 
Hahahahah usjali kirima ya kitambo sana bila kusahau kuku choma wa pale ubungo club sky way batabatan KBH club yake pamepoa watoto wa chuo Ginery warembo wa uhasibuuu balaaa umenikumbusha mbali sanaaaa

Bila kusahau kanga moko ya kule Lakes hotel/Singida Motel Ya mzee baba Akwiii kama unaelekea mwenge nasikia saiv regency habar ya mjini nikija siku moja lazima nijilipue Aqua vitae pamoja na Urafiki resort sehemu zilizotulia balaaaa
 
ngoja niombe uamisho niamie huku
Kwa kweli ni ka mji kazuri, jaribu kufanya research, Singida ni sehemu unaweza kuanzisha biashara yoyote na ukatoboa, watu bado hawajastuka,

Kilimo kinakubali mazao karibu yote na life ni cheap bado, ukinywa haya mapombe yetu kama. JACK DANIELS, BARCADS, GRANTS et al utafahamika exceptional,

Mchele wa sana ila chai kiwango cha lami, (C.ondom muhimu)
 
Hahahahah usjali kirima ya kitambo sana bila kusahau kuku choma wa pale ubungo club sky way batabatan KBH club yake pamepoa watoto wa chuo Ginery warembo wa uhasibuuu balaaa umenikumbusha mbali sanaaaa

Bila kusahau kanga moko ya kule Lakes hotel/Singida Motel Ya mzee baba Akwiii kama unaelekea mwenge nasikia saiv regency habar ya mjini nikija siku moja lazima nijilipue Aqua vitae pamoja na Urafiki resort sehemu zilizotulia balaaaa
Aqua na rafiki ziko poa sema tu zipo barabarani, kumbe unaijua Singapore yote,

Karibu sana muumini mwenzangu, usisahau kunialika kwenye ibada siku ukifika, nitakuja na sadaka/matomolo kwa ajiri ya divai
 
Aiseee ngoja niikumbuke id yako nikija lazima nikutafutee ile club mpya kama unaenda stand ya mabasi palee road inaitwaje nimesahau?
Singidani pale KBH tulikuwa tunafanya kazi ya kuzungusha gari Kuna sehem mpaka majani yamekaukaa kwa sababu ya mchezo huo
 
Hahahaa, kama ni ile ya barabarani inaitwa Rode, tatizo saivi pale watoto wengi mpaka unakuta wana vumbi kwenye miguu mi nikiingia pale naenda kukaa kaunta naendelea na ulevi.

Kuna moja nyingine wameifungua mpya mitaa ya unyankindi inaitwa Furbic ingawa haijabamba sana.

Kwa singida clubs bado ni changamoto hawa kama mtu amezoea empire, club d, Laliga, et al.

Pale mbele ya KBH kuna ziwa Singidani na kale ka uwazi ndo unakuta jumapili watu wanakaa na pombe zao kama wanafanya picnic, kuna ka hewa flani pale ka ubaridi yaani pombe haiingii,

Mkiwa couple pale pana utulivu sana mida ya jioni maana watu wa kujifunza magari nao ndo uwanja wao asubuhi.

So mi huwa naenda kirima natandika mbuzi yangu laini sana halafu nadaka Grants yangu naenda kupunga upepo nikiwa nanyonya taratiibu, nikimaliza mzinga na siku imeisha
 
Pemben umekumbatia toto la Uhasibuuuu
 
Back
Top Bottom