Wapenzi wa pombe kali usiache kupitia huu Uzi!

Wapenzi wa pombe kali usiache kupitia huu Uzi!

Mi huwa nakunywa yoyote kali hata gongo, kuna kipindi nilianza kumix energy drink ya azam na Bombadier, kidogo nife maana inakudanganya utamu unapiga bapa mbili kiroho safi,

Unajikuta unaongeza kischana, kesho yake hukumbuki ulifikaje home
 
Sio allergy sema kama ni fake nawashwa sana na nakuwa mwekundu. Ndo maana bia nakunywa serengeti Lager ile hawachakachui kwasababu Sio maarufu
Oook kweli nilisahau kama kuna bia hizo alafu zina harufuu kaliii
 
Mi huwa nakunywa yoyote kali hata gongo, kuna kipindi nilianza kumix energy drink ya azam na Bombadier, kidogo nife maana inakudanganya utamu unapiga bapa mbili kiroho safi,

Unajikuta unaongeza kischana, kesho yake hukumbuki ulifikaje home
Hahahahaha wewe kiboko unakula lakini ukashiba
 
Kuna siku nimehudhuria harusi ya Kihaya pale Primrose nikala bia nikaona jau sasa kulikua na Jack Daniels nikaletewa mzinga mmoja. Nikaanza kuusorora ado ado. Sikumbuki kilitokea nini ila nilijikuta ghetto kesho yake jioni. [emoji23] [emoji23]
Pole sana unatakiwa unywe kadri ya uwezo wako
 
Back
Top Bottom