IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
No hii ni kama cream.... Huwa wana mix na pombe kali hapo muziki wake balaaAmarula nayo kali? naisikia tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No hii ni kama cream.... Huwa wana mix na pombe kali hapo muziki wake balaaAmarula nayo kali? naisikia tu!
Mmmmmh. Tangu lini JD imekua pant remover?
Yangu nimeogopa kunywa isije nitibua homa. Ila kesho nkitoka kwa ofisi naiwahi home.Ha haa haaaa nimekula mkia sasa hivi, jack daniel inahusika hapa.
tangu mwaka huo.Mmmmmh. Tangu lini JD imekua pant remover?
Wanasemaga amarula Savana Smirnoff Ice na Wine.tangu mwaka huo.
we unajua ipi ambayo inafaa kwa shugjuli hiyo..
noted na zinafanyiwa kaziWanasemaga amarula Savana Smirnoff Ice na Wine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]noted na zinafanyiwa kazi
Kuna smirnoff ice na smirnoff vodka, sasa inayozungumziwa hapa ni smirnoff vodka ndio pombe kaliHivi sminorf nayo ni pombe kali wakuu au akili yangu ishachachuka????
Sion tofauti yake na savanna
mtambuzi anakufaa sanaNiliacha kunywa bia baada ya kufikia hatua ya kunywa kreti moja ya castle lite bila kulewa ikabidi nihamie kwenye pombe kali.
Kama hizi:
K VANT
KONYAGI
BEFFEATER LONDON
THE FAMOUS GROUSE
JAMESON
SMIRNOFF VODKA
JACK DANIEL
BACARDI
VICERORY
AMARULA
HENNESY
BAILEY'S
GORDON'S
BALLANTINES
J&B
RED LABEL
AMBASSADOR
MC DOWELLS
CAPTAIN MOGAN (The best kwangu)
CONTESS
TEACHERS
MATEUS
GRANTS
BLACK LABEL
J.P CHENET
Baada ya kumaliza kupiga vyombo unachukua tikila ya ZAPPA au CAMPARI unapima zako single au Double.
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] jeshi la mtu mmoja
Huyo the best itakua ni Captain wa jeshi.Niliacha kunywa bia baada ya kufikia hatua ya kunywa kreti moja ya castle lite bila kulewa ikabidi nihamie kwenye pombe kali.
Kama hizi:
K VANT
KONYAGI
BEFFEATER LONDON
THE FAMOUS GROUSE
JAMESON
SMIRNOFF VODKA
JACK DANIEL
BACARDI
VICERORY
AMARULA
HENNESY
BAILEY'S
GORDON'S
BALLANTINES
J&B
RED LABEL
AMBASSADOR
MC DOWELLS
CAPTAIN MOGAN (The best kwangu)
CONTESS
TEACHERS
MATEUS
GRANTS
BLACK LABEL
J.P CHENET
Baada ya kumaliza kupiga vyombo unachukua tikila ya ZAPPA au CAMPARI unapima zako single au Double.
Wallah nimecheka mpaka nimeona ntasikika sana sana kilichonifurahisha nimeanza kuvuta hisia nafasi ya The list umeishika wewe siku hizi.Fanta orange nayo kali sana.
Huo nahisi ni wimboAmarula nayo kali? naisikia tu!
Mimi hapa pombe yako au umebadilishaSijaona my best pombe kali of all time GLENFIDICH
Shem angalia hivyo vitu nilishakukataza lakini ndo kwanza umekuja tena kujitapa.Usiniambie nitumie kwenye basiiii