Wapenzi wa pombe kali usiache kupitia huu Uzi!

Wapenzi wa pombe kali usiache kupitia huu Uzi!

Niliacha kunywa bia baada ya kufikia hatua ya kunywa kreti moja ya castle lite bila kulewa ikabidi nihamie kwenye pombe kali.
Kama hizi:

K VANT

KONYAGI
BEFFEATER LONDON
THE FAMOUS GROUSE
JAMESON
SMIRNOFF VODKA
JACK DANIEL
BACARDI
VICERORY
AMARULA
HENNESY
BAILEY'S
GORDON'S
BALLANTINES
J&B
RED LABEL
AMBASSADOR
MC DOWELLS
CAPTAIN MOGAN (The best kwangu)
CONTESS
TEACHERS
MATEUS
GRANTS
BLACK LABEL
J.P CHENET

Baada ya kumaliza kupiga vyombo unachukua tikila ya ZAPPA au CAMPARI unapima zako single au Double.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Niliacha kunywa bia baada ya kufikia hatua ya kunywa kreti moja ya castle lite bila kulewa ikabidi nihamie kwenye pombe kali.
Kama hizi:

K VANT

KONYAGI
BEFFEATER LONDON
THE FAMOUS GROUSE
JAMESON
SMIRNOFF VODKA
JACK DANIEL
BACARDI
VICERORY
AMARULA
HENNESY
BAILEY'S
GORDON'S
BALLANTINES
J&B
RED LABEL
AMBASSADOR
MC DOWELLS
CAPTAIN MOGAN (The best kwangu)
CONTESS
TEACHERS
MATEUS
GRANTS
BLACK LABEL
J.P CHENET

Baada ya kumaliza kupiga vyombo unachukua tikila ya ZAPPA au CAMPARI unapima zako single au Double.
Iv malkia wa mganga uchawi na pombe vinaingiliana kweli?

Kama huna jibu mulize mshana jr

Nb; nikusifu maana upo chamani tena unastahili pongezi nyingi
 
Hivi sminorf nayo ni pombe kali wakuu au akili yangu ishachachuka????
Sion tofauti yake na savanna
 
Black label & Red Label hizo zote ni Jack Daniels
 
Kama ni kweli ulichokiri basi mtani wangu mshana kaingia cha kike tena cha mabubu
 
Kama hiyo [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] View attachment 796934
images (10).jpeg
 
Captain Morgan imetulia..... Amarula haipo kwenye hili kundi.
 
Back
Top Bottom