Wapenzi wa pombe kali usiache kupitia huu Uzi!

Wapenzi wa pombe kali usiache kupitia huu Uzi!

Hiyo K vant na Amalura haistaili kuwepo hapo.
Ongezea Imperial Blue ..
Ila konyagi nyooko sana yani sijawahi kuizoea tangu miaka hiyo lazima tusumbuane tu, labda sababu huwa si changanyanyi na kitu chochote huwa ni dry tuu
 
[emoji116]
20180607201638.jpg
 
Kitu cha keep walking sasa[emoji16][emoji16]habari ya Jack Daniel's mpaka mshipa wa moyo unajua kuna kitu kipya kabisa kimeingia...
Shots za Camino sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom