Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,960
- 2,455
Mambo ya kwetu haya, hii kitu ni tam mpaka unaeza sahau kuna kuna kulewa.Ulanziii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya kwetu haya, hii kitu ni tam mpaka unaeza sahau kuna kuna kulewa.Ulanziii
Kama hiyo [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Jack Daniel [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Captain Morgan a.k.a viagra. Moto wake si wa kitoto.Jameson nayo tamuuu ila hiii CAPTAIN MOGAN balaaaaa
Aah nyie pambaneni nayo tu.Misiba ipo tuu, unywe usinywe
Inategemea tu Mara ya kwanza ulichanganya na nn Mimi nlianza na Pepsi na sijawah jarb kingineAisee mm nahisi tonic na coca ndo best
Ni uoga tu nikikumbuka walevi niliowaona wakiwa hawajitambui labda unipe trick ya kuanza kutumia mdada.Kwanini?
Mfyuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Grandmalta kinywaji cha walimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8][emoji16][emoji16][emoji16][emoji41]
HahahaUmesahau kimoja hapo
Dragon