AiseeNiliacha kunywa bia baada ya kufikia hatua ya kunywa kreti moja ya castle lite bila kulewa ikabidi nihamie kwenye pombe kali.
Kama hizi:
K VANT
KONYAGI
BEFFEATER LONDON
THE FAMOUS GROUSE
JAMESON
SMIRNOFF VODKA
JACK DANIEL
BACARDI
VICERORY
AMARULA
HENNESY
BAILEY'S
GORDON'S
BALLANTINES
J&B
RED LABEL
AMBASSADOR
MC DOWELLS
CAPTAIN MOGAN (The best kwangu)
CONTESS
TEACHERS
MATEUS
GRANTS
BLACK LABEL
J.P CHENET
Baada ya kumaliza kupiga vyombo unachukua tikila ya ZAPPA au CAMPARI unapima zako single au Double.
Barafu za Pepsi nikiwa gheto huwa nagandisha Pepsi kwenye glass nikiwa bar Pepsi ilioganda au ya baridi sanaaaHuwa unachanganya na nini?
Ulishawahi ku test Bacardi Black balaa inakaharuhu flani hizi amazing [emoji40]Jameson nayo tamuuu ila hiii CAPTAIN MOGAN balaaaaa
Aiseeeee wewe kweli mlevi hahahahahahhahahah uwiiiii mm nataka supu ya mkia au kama ulimi upo niletee nusuWaiter zungusha hapa Bapa na Dompo
Peleka meza ile Bapa & Grants usisahau ice cube waiter
Nenda kule jikon mwambie mpishi alete mchemsho wa kongoro mwambie aweke bomba pilipili nyingi tena kwa sana
Mi nipo paleeeeeeh