Wapenzi wa push-ups & squats

Push up 500 per day,sqt 300 per day ndio maisha yangu plus kata kazaa za karateee [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Nimeipenda hii, kutoka 7 hadi 50!
 
Push up ni za ziada huwa kila asubuhi napiga 25,usiku 25 jumla 40 squarts huwa ni 50 kuchangamsha.
Nipo timamu akili na mwili nisipopiga huwa sijisikii vizuri kabisa.
safi kabisa mkuu.komaa upige pushups seti tatu tatu (jumla 75) asubuhi na seti tatu tatu jioni..Yaani kwa siku 150. unapiga 25 unapumua kidogo unapiga zilizobaki kwa mtindo huo huo
 
Wakati niko kwnye peak ya mazoezi mwaka 2009-2013

Nilikuwa napiga push up 350+ ndani ya 45dkika kwa siku

Nilikuwa naendesha baiskeli kutoka mabibo mpaka kibamba kwenda na kurudi mara 2 kwa siku

Now napiga push up 200 tu kwa siku


Nilishindwa kumantain, sababu ya kuwajua wanawake aisee
 
Nakumbuka wakati niko skonga nilikua mtu wa misala na siku nikitaitishwa adhabu ilikua ni uncounted sticks na kupiga pushups 30 halafu ni mtupu yani nikipiga kumi ulimi wote nje

Basi nikawa natoka darasani naenda chimbo na wanangu kila siku nikawa na-force nalala 20 kwa muda wa mwezi nikawa naweza kupiga 70 bila kupumzika
 
Push up 500 per day,sqt 300 per day ndio maisha yangu plus kata kazaa za karateee [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Safiiii mkuu me pia ndo zangu hzo 500 kila cku na kila round napga 50 na zote nazipga saa 12 asbh nkiamka tu then baada ya hapo nakunywa glass zangu 2 za maji ya vuguvugu cku yng inaanza vzr tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole dada yangu, nimeisoma huku navuta uhalisia jinsi unavyohangaika..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole dada yangu, nimeisoma huku navuta uhalisia jinsi unavyohangaika..
Acha tu mdogo wangu. Vp wewe ni Mtaalamu nazo nini? Mana kunawanaume wengine wanapiga huku wamekunja ngumi.
 
Acha tu mdogo wangu. Vp wewe ni Mtaalamu nazo nini? Mana kunawanaume wengine wanapiga huku wamekunja ngumi.

Kikubwa ni kutokata tamaa binafsi wife siku ya kwanza niliishia kucheka sana wakati namfundisha kwa kweli nilishindwa kujizuia naye akamind na kusema hatorudia tena basi nikamuomba radhi na kumsisitiza umuhimu wake akanielewa. Baada ya siku tatu akaweza kupiga push up moja kwa ufasaha sana nikampongeza. Wiki akamaliza push up mbili tukaendelea hivyo baada ya wiki mbili akawa na uwezo wa push up tano ila kwa taratibu sana lakini leo yapata miezi sita Aisee amekuwa ana uwezo wa kupiga aina mbali mbali za push ups ingawa nilimlimit mwisho ziwe 30 tu so kwa sasa anatumia aina tatu za push up ambapo kila aina anapiga kumi anavuta pumnzi then aina nyingine kumi tena mwisho anamaliza zote 30.
So hoja hapa ni mwanzo mgumu ila ukiamua na kutia nia inawezekana.
 
Ahsante kwa ushauri Mkuu.

Mfano jana jioni wakati nafanya mazoezi kuna muda nilipiga moja nzuri ile nataka kuendelea nkajikuta nimelala chini. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nikaja kurudia nikaweza tena moja nzuri.

Ila naamini mdogo mdogo nitaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…