black hawk87
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 678
- 1,244
Push up 500 per day,sqt 300 per day ndio maisha yangu plus kata kazaa za karateee [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Salaam wakuu na hongereni kwa kushiriki vita ya kuitokomeza corona
Katika kuweka mwili fiti nimeona Kuna mazoezi mawili yasiyohitaji eneo kubwa, na hata chumbani unaweza kuyafanya, nayo Ni pushups kwa kujenga mwonekano wa juu wa mwili , na squarts kwa kujenga mwonekano wa chini wa mwili
Wapenzi wa mazoezi hayo karibuni mtuambie ulianzaje kupiga push-ups na unamudu kupiga pushups ngapi, squarts ngapi na utimamu wa mwili wako ukoje.
Karibuni