Wapenzi wa push-ups & squats

Ahsante kwa ushauri Mkuu.

Mfano jana jioni nimepiga moja nzuri ile nataka kuendelea nkajikuta nimelala chini. [emoji28][emoji28][emoji28]

Ila naamini mdogo mdogo nitaweza.

Mtani unataka kuwa bausa?[emoji16][emoji16]
 
Mtani unataka kuwa bausa?[emoji16][emoji16]
Hahahaaaa. Kwani Push Ups huwa zinafanya tuwe baunsa.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hapana hapo nyuma nilikuwa na kilo nyingi tofauti na kimwili changu hivyo nikaamua kila siku jioni lazima nitenge 1hr kwa ajili ya kukimbia na kufanya mazoezi mbali mbali ya viungo ili kujiweka sawa mana sikuwa naumudu mwili wangu.

Hivyo na Push -ups nafanya ili walau nipate nguvu za mikono. Teh teh.
 
Utaweza mtani, mimi nilianza na push ups 5 miaka 7 nyuma lakini kwa sasa napiga mpaka 200 kwa siku
 
Kila siku napiga round 1push up 50 asubuhi na push up 50 jioni.
 
Mwanzo nilikuwa siwezi hata mbili na nilidhani sitoweza tena maana push ups siyo mchezo ,mshikaji wangu alinipa matumaini aliniambia utaweza tu anza mdogo mdogo siyo lazima upige nyingi basi nikaanza na tank kwa siku nilivyoimarika nikawa naongeza kipimo ado ado sasa naweza piga 70 kwa mkupuo mmjoa bila kupumzika na push ups sasa ndio zoezi langu kuu.
 
Kifua ipo?
 
Me napiga hizo na kukimbia atleast 2km asubuhi siku 4 za wiki.
 
Push up 300+ Asbuhi na jion/usku. Squarts 200+ Asubuh na Jion. Jogging 10km Asubuh. Physically fit, sharp brain.
Hongera sana mkuu. Unapiga push ups kavu kavu ama unaweka variations kama navy seal burpees?
 
Push up 500 per day,sqt 300 per day ndio maisha yangu plus kata kazaa za karateee [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Bila Shaka uko fit sana,Mimi nilianza taratibu nikawa najichallenge kuongeza idadi mpk nikaweza kufikia push ups 100 asbh na 100 jioni, na squat Ni hivyo hivyo kwa idadi. So Ni 200 push ups and 200 squat .per day
 
Imekaa poa sana hii mkuu. Me kwa upande wangu now napiga push 600 per morning na squat 500 plus kata tumbo naenda round 20x10=200 every morning
 
Jaribu kuweka uwiano kidogo push up na squart itakuwasaidia na pia hata ukisikia maumivu baada ya kumaliza hzo ulizozoea usiache ongeza hapo tu
 
Imekaa poa sana hii mkuu. Me kwa upande wangu now napiga push 600 per morning na squat 500 plus kata tumbo naenda round 20x10=200 every morning
Uko mbali mzee. Natamani nifikie huko...Bila Shaka wife/mpz wako ana enjoy sana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu squirt?!nafikiri hicho ni kitu kingine tofauti na alichosema mtoa mada..ila najua ni shida ya hivi vitufe vya kuandikia.
boss umezidi sasa unachunguza mpaka nukta kwa mwenzio ili ugundue nn hasa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…