Wapenzi wa push-ups & squats

Wapenzi wa push-ups & squats

Aisee nimeanza jion hii haya mazoezi nimepiga push-up 60 kwa mafungu ya kumi kumi na squats nimepiga 60 hvyo hvyo kwa mafungu ya kumi kumi hapa najiona baunsa kifuani hope na kitambi kitaishia
Leo siku ya nne ya zoez ila naona push-up zinazid kupungua saiz siend zaid ya kumi kwa awamu moja na hii kitu squart naona kama n kwa wadada tuu mana naona Kuna kitu kama baba au mwanaume naona itaniathiri
 
Leo nimepiga pushups 5, plank kwa sekunde 30 na kata tumbo 50. Nikakimbika km 10. Nimechoma jumla ya calories 1100.
Kata tumbo ipi hyo mzee tujulishane mana hii inayosemwa humu naona kwangu sio kabisa
 
Mazoezi siku zote mwanzo mgumu ila ukishapata momentum hutakaa uache
 
Back
Top Bottom