sabuwanka
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 691
- 757
- Thread starter
- #201
Regent uzi wako wa gym na diet umeniongezea elimu Sana, mie muda mwingi huwa nafanya jogging and walking 120 minutes 3 times a week, na kama sio jogging naruka kambaTuanze kwako Unaweza weka Push-up kwa kiswahi
Kisha nafanya body strength..2 times a week
Sasa nitajiuga kwenye free weight umenitamanisha.