Wapenzi wa rooftops (migahawa na kumbi zilizopo juu ghorofani) njooni hapa

Mkuu najua ulizifaidi sana hizo. Enzi za JB Belmont pale Benjamin Mkapa
pale bana palitambana sana kwa shughuli za kareoke night!
kila alhamisi tulikuwa tukijumuika kuwaimbia warembo wetu nyimbo za akina nelly-dilemma
 
Mzalendo tulikua tunakula ngoma za kitambo pale ila ghafla kijiwe kikavamiwa na mashoga toka kila upande hapo ndipo pakanishinda naona mpaka wakaamua kufunga.
 
Kuna chimbo flani lilikuwa lipo porini wakaja kutembelewa na tra wakaja kulifunga, lilikuwa litamu sana, TABATA tupeni mchongo
 
Na totoz za Ustawi...

Ustawi hapo ni karibu na maskani kwenye mishe za ujana nikapata binti mjanja wangu nikaoa kabisa kama utani leo tunaujaza tu ulimwengu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
pale bana palitambana sana kwa shughuli za kareoke night!
kila alhamisi tulikuwa tukijumuika kuwaimbia warembo wetu nyimbo za akina nelly-dilemma

Aiseee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…