Wapenzi wa rooftops (migahawa na kumbi zilizopo juu ghorofani) njooni hapa

Wapenzi wa rooftops (migahawa na kumbi zilizopo juu ghorofani) njooni hapa

High Spirit
high-spirit-lounge-bar.jpg
chimbo langu hili
 
Mkuu najua ulizifaidi sana hizo. Enzi za JB Belmont pale Benjamin Mkapa
pale bana palitambana sana kwa shughuli za kareoke night!
kila alhamisi tulikuwa tukijumuika kuwaimbia warembo wetu nyimbo za akina nelly-dilemma
 
Mzalendo tulikua tunakula ngoma za kitambo pale ila ghafla kijiwe kikavamiwa na mashoga toka kila upande hapo ndipo pakanishinda naona mpaka wakaamua kufunga.
 
Kuna chimbo flani lilikuwa lipo porini wakaja kutembelewa na tra wakaja kulifunga, lilikuwa litamu sana, TABATA tupeni mchongo
 
pale bana palitambana sana kwa shughuli za kareoke night!
kila alhamisi tulikuwa tukijumuika kuwaimbia warembo wetu nyimbo za akina nelly-dilemma

Aiseee!!
 
Back
Top Bottom