platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizo RoofTop Bar ni hatari sana kwa baadhi ya makabila, maana wakilewa wanakuwa kama vichaaaa,
Muongo wwUnenikumbusha zile party za summit kuna familia moja Ada Estate miaka hiyo walihodhi party hizo.
chimbo langu hiliHigh Spirit
![]()
Sijaibuka hapo tangu mwaka huu uanze. NBA finals nitaibuka hapo.chimbo langu hili
pale bana palitambana sana kwa shughuli za kareoke night!Mkuu najua ulizifaidi sana hizo. Enzi za JB Belmont pale Benjamin Mkapa
Mkuu una maana huko Shy gorofa ya nne ndio roof top?Level 4 Shinyanga
Na totoz za Ustawi...Mzalendo tulikua tunakula ngoma za kitambo pale ila ghafla kijiwe kikavamiwa na mashoga toka kila upande hapo ndipo pakanishinda naona mpaka wakaamua kufunga.
Na totoz za Ustawi...