Wapenzi wa samaki njooni hapa

Wapenzi wa samaki njooni hapa

Mpauko

R.I.P
Joined
Jan 19, 2019
Posts
2,323
Reaction score
3,428
Kila mtu aseme anachukua samaki gani hapo....mimi nachukua pweza..tena huyo mkuuubwa...

TUAMBIANE NI AINA GANI YA SAMAKI UNAYEPENDA KUMTUMIA KWA KITOWEO NA MBOGA..
FB_IMG_15714799936540940.jpeg
 
Hao wakubwa hapo wawili ndio Jodari?

Ila kuna hao wengine hapo wakubwa hawaonekani vizuri ndio nawakubali sana.
 
Samaki changu bwana, u muoke, umkaange, umpike mchuzi vyote ana fit. Sasa changu na wali wa nazi, kachumbari pembeni mmh.
Changudoa.......

Wavuvi wanasema rahisi sana kumuopoa kama anajiletaga kwa mvuvi mtumbwini kabisa😁😁
 
Changudoa.......

Wavuvi wanasema rahisi sana kumuopoa kama anajiletaga kwa mvuvi mtumbwini kabisa😁😁
Changu mwacheni aitwe changu, samaki yule mtamu bwana hasa apate ndimu
 
Back
Top Bottom