Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jodari KiswahiliMbona kuna mtu kasema ni jodari?
Na mimi niliuliza mkuu, nimeambiwa hao sio jodari.Kumbe wanaitwa jodari
Jamani mbona mnashau perege? Mimi perege wa bwawa la Nyumba ya Mungu nawapenda sana.hujui Samaki ww, kuna Samaki watamu, kama mkule, jodari, kolekole, etc
Hao wakubwa hapo wawili ndio Jodari?
Ila kuna hao wengine hapo wakubwa hawaonekani vizuri ndio nawakubali sana.